iThinkSoo

iThinkSoo

  • Language

Category: Swahili

  • Kama unahitaji kuhamasishwa kuanza jambo, basi umeshafeli.

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Uvumilivu ni kuendelea kuweka juhudi wakati ukiwa haufikirii matokeo.

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Ukianza kuwa na haraka, maana yake umeshachelewa

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Unaweza kufanya chochote kwenye maisha, lakini sio kila kitu kwa wakati mmoja

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Hauwezi kuwa na utajiri wowote kwenye maisha wakati una utajiri wa visingizio

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Wakati Unaomba Mvua Inyeshe, Jiandae Kulowa Na Matope Pia

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Chura Asiyesikia, Juu Ya Mti Mkubwa

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Mungu Anaona Ndani Yako, Watu Wanaona Vya Nje

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
  • Hamna kitu kizuri au kibaya, ni namna unavyo kitazama

    By

    Philosophy, Rogers Katuma, Swahili
Previous Page Next Page

iThinkSoo for Kayanda